Rahisi . Haraka . Uhakika

Tunakuwezesha kutoa risiti za TRA kupitia simu janja yako popote ulipo

Endelea

Image Image

Furahia huduma kila utumiapo Smart EFD

Huduma kwa wateja

Utakapo hitaji msaada zaidi katika kutumia mfumo, tupo tayari kukusikiliza na kukupa huduma kwa wakati

Risiti Papohapo

Tunawezesha mteja wetu kutoa risiti popote utakapokuwa kupitia simu janja yako au kompyuta

Kifaa zaidi ya kimoja

Unaweza kutoa risiti kwa account yako kupitia simu au kompyuta zaidi ya moja bila kikomo

Image 1
Image 2
Image 3

Angalia VFD's zako

Ukiwa una akaunti zaidi ya moja tunakuwezesha kuona mauzo na kuiendesha akaunti zote kwa simu yako

Tuma au hifadhi risiti

Unaweza kuhifadhi au kutuma risiti yako kwa njia ya sms, picha au pdf kwa urahisi sana

Ongeza Wateja

Huitaji kujaza wateja wako kila siku, tunakuwezeha kuhifadhi taarifa za wateja wako wa kila siku

Pakua app yetu kwenye simu janja yako